🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Thursday 08-11-2018 09:00:02am Swahili Times
Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari (Committee to Protect Journalists-CPJ) imezitaka Mamlaka nchini Tanzania kuwaachia huru wawakilishi wake wawili barani Afrika,  Angela Quintal, ambaye ni Mratibu wa Progamu Afrika na Muthoki Mumo ambaye nu Mwakilishi wa CPJ Kusini mwa Jangwa la Sahara ambao wanadaiwa kukamatwa na maofisa waliojitambulisha kuwa wanafanya kazi na Idara ya Uhamiaji. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika tovuti ya CPJ, maafisa hao walifika katika hoteli ambapo wawakilishi hao walikuwepo na kuwaweka chini ya ulinzi, huku wakipekua mali zao ambapo walichukua hati zao za kusafiria (passport) ambazo bado wanazishikilia. Quintal na Mumo baada ya hatua hiyo na upekuzi . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E