🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 08-11-2018 09:00:02am Bongo5
Rais wa Marekani Donald Trump amemfukuza kazi Mwanasheria mkuu wa nchi hiyo Jeff Session. Akitoa taarifa kupitia mtandao wa Twitter, Rais Trump amesema nafasi yake hiyo itashikwa kwa muda na mwanasheria Matthew Whittaker. Katika ukurasa wake wa Twitter Rais wa Marekani amemshukuru mwanasheria huyo mkuu Jeff Sessions kwa kazi yake hiyo na kumtakia kila la …The post Hii ndio sababu ya Trump kumtumbua mwanasheria wake mkuu Jeff Sessions appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E