🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Thursday 08-11-2018 09:00:02am Swahili Times
Dodoma: Wakati Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipoanza jijini Dodoma, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango aliwasilisha bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti na Mwaka 2019/20. Wakati akiwasilisha bungeni, Waziri Mpango aliliomba Bunge lipokee, lijadili na kutoa maoni na ushauri kwa ajili ya kuandaa Mpango wa Maendeleo wa Taifa na kuboresha Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2019/20. Akizungumza bungeni Waziri Mpango alitaja changamoto mbalimbali ambazo kwa kiwango kikubwa zilizojitokeza katika utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya mwaka . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E