🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Saturday 22-12-2018 09:00:02am Swahili Times
“Japo tunajitahidi kuwa vijana wa mfano bora kwenye Taifa letu, lakini kama tulivyoumbwa binadam hatuwezi kupatia siku zote, lazma itatokea siku tutateleza tu….Ila Utelezapo, ni vyema kulijua Kosa na Kulirekebisha ili kesho na Kesho kutwa lisijirudie.” Hayo ni maneno ya Diamond Platnumz akiomba msamaha kwa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa kosa la kutumbuiza wimbo wake na Rayvanny, Mwanza ambao umefungiwa. BASATA walifungia wimbo huo Novemba 12 mwaka huu kutokana na kile walichoeleza kuwa wimbo huo unakiuka maadili ya kitanzania pamoja na kutumia maneno ambayo yanahamasisha ngono. Licha ya wimbo kufungiwa, wakiwa katika Tamasha la Wasafi jijini Mwanza wasanii hao waliimba wimbo . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E