Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Aliyekuwa Mpambe wa Rais Magufuli ateuliwa na Waziri Kigwangalla

Saturday 22-12-2018 09:00:02am Swahili Times


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamis Kigwangalla amemteua Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS). Mkeremy ambaye alikuwa Mpambe/Msaidizi wa Rais Dkt Magufuli alipandishwa cheo Aprili mwaka huu kutoka kuwa Kanali, na kuwa Brigedia Jenerali ambapo nafasi yake hiyo ilichukuliwa na Bernard Mlunga ambaye alipandishwa cheo kutoka Luteni Kanali na kuwa Kanali. Mbali na kumteua Mkeremy katika nafasi hiyo, Waziri Kigwangallah ameteua wajumbe 6 wanaounda bodi huyo ambao ni; Edward Gerald Nyamanga Piencia Christopher Kiure Eng. Enock Emmanuel Nyanda Dkt. Siima Salome Bakengesa Dkt. Eazekiel Edward Mwakalukwa Dkt. . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E