đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Saturday 22-12-2018 09:00:02am Swahili Times
Marekani imetangaza sera yake mpya kwa Bara la Afrika ambayo imejikita zaidi katika kutokomeza mbinu zinazotumiwa na China na Urusi pamoja na kusitisha misaada ambayo imedai haina manufaa. Pamoja na hayo, Marekani imekusudia kuitisha misaada yake kwa vikundi vya Umoja wa Mataifa (UN) vinavyolinda amani katika nchi mbalimbali za Afrika, ambapo kwa mujibu wa taifa hilo, ulinzi huo wa Amani hauna faida na hauoneshi matunda kuwa unafanikiwa. Akitangaza sera hiyo Mshauri wa Usalama wa Taifa, John Bolton alisema kuwa sera hiyo itajikita zaidi katika maendeleo ya biashara, na kuthibiti makundi ya kigaidi kama vile Isis and al-Qaida ambayo yanaweza kuleta . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E