Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Serikali inatoza faini milioni 20 kwa kila kilo ya nyama iliyoharibika

Saturday 22-12-2018 09:00:02am Swahili Times


Serikali inatoza faina ya shilingi milioni 20 kwa kila moja ya nyama iliyokwisha muda wa matumizi zitakazokutwa kwenye maduka ya kuuza nyama, bidhaa za maziwa na hoteli. Faini hiyo ambayo mhusika aliyekutwa na bidhaa hizo atatakiwa kulipa ndani ya saa 24, imezua gumzo miongoni mwa wafanyabishara hasa wamilikiwa wa hoteli wakieleza kuwa faini hiyo ni kubwa sana, lakini pia wakilalamikia utartibu unatumiwa katika ukaguzi. Operesheni hiyo ambayo ipo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaendeshwa kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mamlaka cha Chakula na Dawa (TFDA). Imani Sichalwe ambaye anaongoza timu ya ukaguzi . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E