Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Picha: Tanzania yakabidhiwa rasmi ndege mpya Airbus A220-300

Saturday 22-12-2018 09:00:02am Swahili Times


Serikali ya Tanzania imekabidhiwa rasmi ndege mpya aina ya Airbus A220-300 ambazo zinatarajiwa kuwasili nchini muda wowote mwezi huu. Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, ndege ya kwanza itapokelewa nchini Disemba 21 ikitokea nchini Canada ilipotengenezwa. Dkt Abbas ameongeza kuwa, ndege nyingine ya aina hiyo hiyo itawasili nchini siku chache baada ya ndege ya kwanza, ambapo hakuweka wazi siku ambayo ndege hiyo itawasili. Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria hadi abiria 160, kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe ndege hiyo itaanza safari zake Disemba 26, huku akiwakikishia wananchi kwamba . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E