Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Tanzania na Rwanda zafikia makubaliano ujenzi wa reli (SGR) Isaka – Kigali

Friday 02-11-2018 09:00:02pm Swahili Times


Tanzania na Rwanda zimetangaza kuwa, Disemba mwaka huu zitaanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) yenye urefu wa kilomita 571 itakayounganisha Mji wa Isaka nchini Tanzania na Jiji la Kigali Rwanda. Azimio hilo lilitolewa katika taarifa ya pamoja katika ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe na Waziri wa Rwanda, Claver Getete walipokuta hivi karibuni jijini Dar es Salaam kukamilisha maandalizi ya mradi huo utakaogharimu TZS trilioni 5.7. Kati ya fedha hizo, Tanzania inatarajiwa kuchangia TZS trilioni 3 huku Rwanda wao wakichangia TZS trilioni 2.7. Nchi hizo mbili pia zilifikia makubaliano kuhusu namna ya kupata fedha kwa ajili . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E