🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Friday 02-11-2018 09:00:02pm Swahili Times
Msanii Amber Rutty pamoja na mpenzi wake ambaye jina lake halijajulikana, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo ambapo wamesomewa mashtaka juu ya kesi inayowakabili kuhusu video zenye maudhui ya ngono. Akiwa mahakamani hapo, Amber Rutty amesomewa mashtaka mawili, moja la kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile na kosa la pili ni kusababisha kusambaa kwa picha za ngono. Wakati Amber Rutty akikumbana na hayo, kijana mmoja ambaye hutumia jina la James Delicious katika mitandao ya kijamii, naye amepandishwa mahakamani na kusomewa shtaka moja la kusambaza video za ngono mtandaoni. Mtuhuiwa huyo amekana shtaka hilo. Endapo watuhumiwa hao watatiwa hatiani . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E