Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Watu 7 wafariki dunia baada ya magari mawili ya serikali kugongana

Saturday 03-11-2018 09:00:03am Swahili Times


Watu 7 wamefariki dunia na wengine watatu wakijeruhiwa baada ya magari mawili ya serikali kugongana uso kwa uso usiku wa kuamkia leo (saa 6:30 usiku) wilayani Kongwa mkoani Dodoma. Magari yaliyohusika kwenye ajali hiyo ni Land Cruiser yenye namba za usajili STL 6250 mali ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ambalo lilikuwa na abiria 6 na dereva mmoja likitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam. Huku gari jingine likiwa na Land Cruiser yenye namba za usajili SU 41173 mali ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma. Waliofariki katika ajali . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E