🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Tuesday 13-11-2018 09:00:02pm Swahili Times
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, amemtaka Mfanyabishara Yusuf Manji kuchukua fomu na kugombea nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Yanga kama bado anamapenzi na klabu hiyo. Waziri Mwakyembe pia amewaonya wale wote wanaopinga uchaguzi wa klabu hiyo waache mara moja. Hayo yamekuja ikiwa ni siku chache tu baada ya Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Yanga, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika, kutangaza kuwa Manji atarejea katika nafasi hiyo mwakani 2019 pindi afya yake itakapoimarika. Mei 20, 2017 Manji aliandika barua ya kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Yanga akiwa nchini Uingereza, ambapo aliyekuwa Makamu Mwenyekiti, Clement Sanga, alichukua nafasi kuwa mwenyekiti . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E