Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Hoja 6 za Diamond kwenda BASATA, baada ya wimbo wake na Rayvanny kufungiwa

Tuesday 13-11-2018 09:00:02pm Swahili Times


Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) jana lilitangaza kuufungia wimbo mpya wa mwanamuziki Rayvanny unaokwenda kwa jina la Mwanza, au jina maarufu Nyegezi kwa maelezo kuwa unahamasisha masuala yasiyokubalika katika jamii. Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza ameiambia alisema kuwa wameufungia wimbo huo ambao amemshirikisha Diamond Platnumz na kupiga marufuku kuchezwa mahali popote. “Tumesikitishwa sana na msanii mkubwa kama Diamond kushiriki kuimba wimbo usio na maadili kwa kuwa ni msanii mkubwa  anayetazamwa kama kioo na jamii,” alisema. Aidha, BASATA ilizataka mamlaka nyingine kuchukua hatua, kwani tayari wimbo huo umeshaenea sana mitandaoni, ambapo pia walifungia wimbo huo kuchezwa katika tamasha la muziki la Wasafi (Wasafi . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E