Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Aliyoyasema Rostam Aziz baada ya kukutana na Rais Dkt Magufuli Ikulu leo

Tuesday 13-11-2018 09:00:02pm Swahili Times


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Novemba, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na wanasiasa Mhe. John Cheyo, Mhe. James Mbatia na Mhe. John Shibuda, na mfanyabiashara Bw. Rostam Aziz Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo hayo Bw. Rostam Aziz amempongeza Mhe. Rais Magufuli kwa uongozi bora ambapo amesema anatengeneza misingi imara ya uchumi unaokua kwa uhakika zaidi kwa kujenga miundombinu ikiwemo barabara, reli na bandari ambayo ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi na kuzalisha ajira. Bw. Rostam Aziz amesema anaunga mkono juhudi za Mhe. Rais Magufuli na kubainisha kuwa . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E