Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Sakata la wachezaji wa Simba, meneja wa klabu hiyo afungiwa kujihusisha na soka

Monday 10-09-2018 09:00:03pm Swahili Times


Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia Meneja wa Klabu ya Simba kutojihusisha na soka kwa mwaka mmoja pamoja na faini baada ya kumtia hatiani kwa makosa mawili. Meneja huyo wa Simba ametiwa hatiani kwa makosa ya kuihujumu timu ya taifa kwa kutotii maagizo ya TFF, na kuwachelewesha wachezaji wa Simba kufika katika kambi ya Taifa Stars. Kufuatia kuchelewa kwa wachezaji hao, hawakuruhusiwa kujiunga na wenzao waliokuwa kambini. Kocha mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike aliwatimua wachezaji sita kutoka katika klabu ya Simba ambao walishindwa kuwasili katika kambi ya timu ya taifa kwa wakati. Timu hiyo . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E