🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Monday 10-09-2018 09:00:03pm Swahili Times
Serikali ya Namibia kupitia shirika la Debmarine imeingia ubia na kampuni kubwa ya uchimbaji almasi duniani ya De Beers, ili kuchimba madini hayo ndani ya bahari ya Atlantiki. Mwaka jana uchimbaji huo ulipata carats milioni 1.4 huku uchimbaji wa nchi kavu ukishuka. Takribani TZS bilioni 300 zimewekezwa kwenye mradi huo. Teknolojia mpya na ya kisasa hutumika kuchimba madini hayo ambapo meli kubwa hutia nanga bahari zikiwa na vifaa vya kisasa vya kutafuta madini hayo, pamoja na kupima hatari zinazoweza kujitokeza baharini ikiwamo mawimbi makubwa. Kampuni ya Debmarine ya Namibia imepewa leseni ya kuchimba madini hayo katika ukanda wa Pwani hadi mwaka 20135 . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E