Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mahakama Kuu Iringa yatupa pingamizi la serikali sakata la ving’amuzi vya Dstv, Azam na Zuku

Monday 10-09-2018 09:00:03pm Swahili Times


Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo Septemba 10, 2018 imetupilia mbali pingamizi la wakili wa Serikali lililokuwa linapinga mahakama hiyo kusikiliza maombi ya kuondolewa kwa amri ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyopelekea Dstv, Azam na Zuku kuondoa chaneli za ndani kwenye ving’amuzi vyao. Katika kesi ya msingi, waleta maombi Silvanus Kigomba, Jesca Msambatavangu, Oliver Motto, Sebastian Emmanuel Atilio na Hamdun Abdallah wanaiomba mahakama kubatilisha amri ya kuondolewa chaneli za ndani kwenye ving’amuzi vya kampuni hizo. Walalamikaji hao wanadai tayari ving’amuzi hivyo vimeshatumiwa muda mrefu na wananchi ambao walivinunua baada ya kuamini watapata huduma ya kutazama maudhui yanayorushwa na chaneli . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E