🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Monday 10-09-2018 09:00:03pm Swahili Times
Karibuni vyuo vingi vitafunguliwa ambapo wanafunzi wa mwaka wa kwanza wataanza rasmi safari yao ya kielimu katika mafunzo ya shahada yao ya kwanza ambapo kwa baadhi itawachukua miaka mitatu, wengine minne na wengine mitano, kila mmoja kutegemeana na programu anayosoma. Lakini mbali na wao kuna wanafunzi wa diploma pia ambao nao wataanza masomo yao karibuni. Je! Umewahi kujiuliza baada ya kupata taarifa kuwa umekubaliwa ombi la kujiunga na chuo fulani nini kifuate? Watu wengi baada ya kuchaguliwa chuo hukaa na kusubiri hadi siku chuo kinapofunguliwa ndipo wanakwenda ambapo wakifika wanatakiwa kuanza kufanya usahili ambapo pia huoneshwa baadhi tu ya maeneo . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E