Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mtanzania akamatwa Kenya akiwa ameficha dawa za kulevya kwenye njia ya haja kubwa

Sunday 25-11-2018 09:00:02am Swahili Times


Nairobi: Mamlaka nchini Kenya zinawasikia watu watatu akiwemo raia mmoja wa Tanzania, baada ya kukutwa na dawa za kulevya wwalizokuwa wakizisafirisha kwenda China na Ugiriki. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) amesema kuwa maafisa wake waliwashuku watu hao walipokuwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) jijini Nairobi alhamisi usiku wakati wakijiandaa kwenda China na India. Mtanzania huyo aliyefahamika kwa jina la Msafiri Musa alikuwa ameficha tembe 69 za dawa za kulevya ambazo hazijatambulika katika njia yake ya haja kubwa ili kuepuka kubainika, alisema DCI. Uwanja wa huo wa ndege, ambao ndio unaohudumia watu wengi zaidi . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E