🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Sunday 25-11-2018 09:00:02am Swahili Times
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imewafutia dhamana, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini (CHADEMA), Esther Matiko baada ya wawili hao kukiuka masharti ya dhamana. Akitoa uamuzi huo mahakamani hapo leo Novemba 23, Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri amesema watuhumiwa hao wawili wameshindwa kuzingatia masharti ya dhamana katika kesi ya uchochezi inayowakabili. Wakili wa upande wa utetezi, Peter Kibatala amesema kuwa wata kata rufaa kupinga uamuzi huo wa mahakama. Kutokana na uamuzi huu wa Mahakama, Mbowe na Matiko watapelekwa rumande wakati taratibu za kukata rufaa zikiendelea Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E