Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Waziri atamani serikali ipige marufuku simu vyuoni

Sunday 25-11-2018 09:00:02am Swahili Times


Lushoto. Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema angetamani simu za mikononi zipigwe marufuku kwenye vyuo vya kati na vyuo vikuu nchini kwa kuwa vinawapotezea muda wa kusoma wanafunzi. Amesema hayo leo Ijumaa wakati wa mahafali ya 18 ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA). Amesema wanafunzi katika vyuo nchini wameacha kujisomea na badala yake hutumia muda mwingi kujishughulisha na mitandao ya kijamii na si kutafuta mambo yenye kuwasaidia. “Ningetamani simu za mikononi vyuoni zipigwe marufuku kwa sababu zinawapotezea wanafunzi muda wa kujisomea na wanatumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii,” amesema Profesa Kabudi. Waziri huyo amesema . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E