Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mchungaji awadhamini Amber Rutty na mpenzi wake, waachiwa kwa dhamana

Tuesday 27-11-2018 09:00:02pm Swahili Times


Mchungaji wa Mitume na Maaskofu Tanzania wa Kanisa la Emmaus Bible Church Pentecostal lenye makao yake Mbezi-Luis jijini Dar, Daud Mashimo ‘Komando Mashimo’ amewadhamini Msanii Rutyfiya Abubakary maarufu Amber Rutty na mpenzi wake Said Bakary baada ya kusota rumande kwa zaidi ya siku 20. Mbali na mchungaji huyo, mdhamini mwingine ni ndugu wa Amber Rutty. Wawili hao walifikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa makosa mawili ikiwemo la kufanya mapenzi kinyume na maimbile, pamoja na kusambaza video hizo. Kwa pamoja washtakiwa walisomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustino Rwezire na wakili wa serikali Nassoro Katuga. Tangu kufikishwa mahakamani hapo wawili hao . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E