🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Tuesday 27-11-2018 09:00:02pm Swahili Times
Rais Dkt John Pombe Magufuli leo Novemba 27, 2018 anakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa maktaba kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), na sherehe hiyo inafanyika katika eneo la maktaba hiyo mpya, Kampasi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mlimani. Wakati Rais akizindua maktaba hiyo, ni vyema tukafahamu mambo mbalimbali ya msingi kuhusu maktaba hiyo ya aina yake. Jiwe la msingi la maktaba hiyo liliwekwa na Rais Dkt Magufuli  tarehe 02 Juni, 2016 ambapo kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu, maktaba hiyo ndio maktaba bora kuliko zote barani Afrika. Maktaba hiyo imejengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Jamhuri . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E