đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Tuesday 27-11-2018 09:00:02pm Swahili Times
Rais Dkt John Pombe Magufuli amemmwagia sifa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kwa namna anavyofanya siasa na kuwataka viongozi wengine wa vyama vya upinzani kuiga mfano wake. Rais Magufuli amesema kuwa, alishindana na Lowassa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, na baada ya kumshinda, Lowassa ameamua kutulia na kuendesha siasa za kistaarabu tofauti na wale wengine ambao wamekuwa wakipiga kelele, wakati hata hawakugombea kama ilivyokuwa kwa Mjumbe huyo wa Kamati Kuu wa CHADEMA. Ameyasema hayo wakati akizindua maktaba ya kisasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika Kampasi ya Julius Nyerere, Mlimani na kusema kwa moyo wake wa dhati . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E