🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 29-07-2019 09:00:04am Bongo5
Mkurugenzi wa idara ya ujasusi Marekani, Dan Coats ni kiongozi wa hivi karibuni kujiuzulu katika utawala wa Trump. Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Rais Donald Trump alituma ujumbe kwenye twitter akisema Coats atajiuzulu Agosti na kwamba atamteua mbunge wa Texas John Ratcliffe kuichukua nafasi hiyo. Amesema kuwa Ratcliffe ataongoza “na kuhimiza ukubwa …The post Marekani: Kiongozi wa ujasusi aamua kujiuzulu, Korea kaskazini, Urusi na Iran zausishwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E