Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Taifa Stars leo kulipa kisasi dhidi ya Kenya?, Uongozi wa Simba SC waahidi kutoa Tsh. milioni 10

Sunday 28-07-2019 09:00:04pm Bongo5


Leo Jumapili Julai 28, 2019 timu ya taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars inachuana na majirani zao Kenya kwenye mchezo wa kufuzu michuano ya CHAN. Mchezo huo ni moja ya michezo yenye kusisimua zaidi, hii ni baada ya Taifa Stars kukubali kichapo cha goli 3-2 kwenye michuano ya AFCON 2019 iliyofanyika nchini Misri mwezi …The post Taifa Stars leo kulipa kisasi dhidi ya Kenya?, Uongozi wa Simba SC waahidi kutoa Tsh. milioni 10 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E