🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 29-07-2019 09:00:04am Bongo5
Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda ametangaza kuwa kuanzia leo Julai 29, 2019 mtu yeyote atakayetupa taka taka barabarani achukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kushushwa kwenye gari na kufanyishwa usafi. RC Makonda amesema hayo leo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kufanya usafi kwa jiji hilo ikiwa ni kipindi cha maandalizi …The post Atakayetupa takataka barabarani Dar, Kupigishwa deki appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E