Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Jaffary Kibaya atupia ‘hat trick’ na kuibeba Mtibwa Sugar  CAF Confederation Cup

Tuesday 27-11-2018 09:00:02pm Bongo5


Klabu ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya mabao 4 – 0 dhidi ya Nothern Dynamo ya Usheli Sheli mchezo uliyopigwa uwanja wa Azam Complex wa Chamazi. Kwenye mchezo huo wa kwanza wa michuano ya Shirikisho Afrika ( CAF Confederation Cup), Mtibwa imechomoza na ushindi huo baada ya dakika 45 za kwanza kutoka na mabao …The post Jaffary Kibaya atupia ‘hat trick’ na kuibeba Mtibwa Sugar  CAF Confederation Cup appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E