🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 27-11-2018 09:00:02pm Bongo5
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar Nedy music afunguka mwanzo mwisho jinsi alivyofanikiwa kushinda tuzo ya Afrima nchini Ghana. Msanii huyo akiongea na Bongo5 ameongea hayo na kusema kuwa kwenye kipengele alichokuwepo alikuwa msanii Ommy Dimpoz kutoka Tanzania, A.K.A kutoka Afrika ya Kusini na wengineo wengi. Msikilize Nedy:- By Ally Juma.The post Nedy Music afunguka jinsi alivyowagaragaza wasanii wakubwa kwenye tuzo za Afrima (+Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E