Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Azam wampeleka kwa mkopo, Mbaraka Yusuph timu ya daraja la kwanza Namungo FC

Tuesday 27-11-2018 09:00:02pm Bongo5


Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC imeamua kumpeleka kwa mkopo mshambuliaji wake, Mbaraka Yusuph katik timu ya Namungo inayoshiriki ligi daraja la kwanza. Nyota huyo aliyewahi kuwa mfungaji bora ‘top score’ wa ligi kuu kwa miezi tofauti na hata kufanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora chipukizi msimu wa mwaka 2017/18 amejikuta akisumbuliwa na …The post Azam wampeleka kwa mkopo, Mbaraka Yusuph timu ya daraja la kwanza Namungo FC appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E