🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Friday 16-11-2018 09:00:02am Swahili Times
Mbunge wa Temeke kwa tiketi wa Chama cha Wananchi (CUF) Abdallah Mtolea ametangaza kujiuzulu ubunge na nafasi zake zote za uongozi ndani ya chama hicho kuanzia leo Novemba 15, 2018. Akiyasema hayo leo bungeni mjini Dodoma, Mtolea ameeleza kuwa, kwa muda mrefu sasa ndani ya chama hicho kumekuwa na mgogoro wa kiungozi ambao haufikii mwisho. Baada ya kutangaza uamuzi huo, Mtolea alitoka nje ya ukumbi wa Bunge. Kujiuzulu huko kwa Mtolea kunakuja ikiwa leo ni siku ya mwisho iliyotangazwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa, ni mwisho wa kuwapokea wabunge na madiwani kutoka upinzani ambao watapewa nafasi za kugombea tena. . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E