Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mawaziri watano wanaoongoza kwa utoro bungeni

Friday 16-11-2018 09:00:02am Swahili Times


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (Mb) leo ameweka wazi mahudhurio ya wabunge katika vikao vya kamati za Bunge na mahudhurio kwenye vikao vya na Bunge, ambapo amewataja mawaziri watano ambao mahudhurio yao hayaridhishi kama wengine. Akizungumza baada ya kipindi cha maswali na majibu leo Alhamisi Novemba 15, 2018, Ndugai amewataja mawaziri hao wenye uhudhuriaji mdogo kuwa ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (45) na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (41). Wengine ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi (38), Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E