🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 16-11-2018 09:00:02am Bongo5
Mwenyekiti wa klabu ya Gor Mahia, Ambrose Rachier amethibitisha kupata barua ya kuacha kazi kwa kocha mkuu wa timu hiyo, Dylan Kerr. “Leo nimepokea barua ya kujiuzulu kutoka kwa kocha Dylan Kerr. Kwa niaba ya klabu, ninakubaliana na maamuzi ya kujiuzulu kwake kwa sababu amekuwa mtu mzuri kwetu hivyo nataka kumtakia kilalakheri,” amesema mwenyekiti huyo Rachier. ”Katika …The post Kocha wa Gor Mahia, Dylan Kerr abwaga manyanga appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E