🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 15-01-2019 09:00:03pm Bongo5
Msemaji wa kundi la kigaidi la Al-Shabab amekiri wazi kuwa, milipuko na milio ya risasi iliyotokea katika Hoteli ya Dusit mapema mchana wa leo huko Westlands jijini Nairobi nchini Kenya, limetekelezwa na kundi hilo. Msemaji huyo ameliambia Shirika la Habari la BBC kwa njia ya simu, kuwa kundi hilo ndio lililotekeleza shambulizi hilo. Hata hivyo, …The post BREAKING: Kundi la kigaidi la Al-Shabaab lakiri kutekeleza shambulizi la kigaidi la Westlands, Kenya appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E