🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 15-01-2019 09:00:03pm Bongo5
Milipuko na milio ya risasi yasikika katika eneo la 14 Riverside, Nairobi kunakopatikana hoteli ya DusitD2. Milipuko miwili mikubwa ya risasi ilisikika na baadaye ufyatuaji wa risasi. Watu kadha wamejeruhiwa na wanahudumiwa na maafisa wa Shirika la Msalaba Mwekundu wakisaidia na watu wengine wa kujitolea. Mmoja wa majeruhi amesafirishwa kupelekwa hospitalini. Maafisa wa polisi wamefika …The post Breaking: Taharuki yatanda Nairobi, Milipuko na milio ya risasi yatawala appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E