🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 15-01-2019 09:00:03pm Bongo5
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Salehe Kiba alimaarufu Alikiba leo amethibitisha kuwa kinywaji chake cha Mofaya kuanza kupatikana katika mkoa wa Dar Es Salaam. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kiba amefunguka na kutaja maeneo ambayo kitakuwa kinapatikana huku akiwaambia watu wa mikoani wakae mkao wa kula maana kinywaji hicho kitasambaa nchini Nzima. “Sasa …The post Alikiba athibitisha kinywaji chake cha Mofaya kuanza kupatikana Dar Es Salaam rasmi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E