Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Alikiba, Harmonize, na wasanii wengine wahudhuria mazishi ya Ruge Mutahaba Bukoba (+ Video)

Monday 04-03-2019 09:00:03pm Bongo5


Katika kuhakikisha mwili wa aliyekuwa mkurugenzi wa vipndi katika kituo cha habari cha Clouds Media Ruge Mutahaba unahifadhiwa mahala salama nyumbani kwao Bukoba mkoani Kagera wameweza kuhudhuria wasanii mbalimbali katika tukio la mwisho la kumuga Ruge. Miongoni mwa wasanii waliohudhuria ni pamoja na Alikiba, Harmonize, Mwana Fa na wasanii wengine katika kumuaga Ruge Mutahaba. By …The post Alikiba, Harmonize, na wasanii wengine wahudhuria mazishi ya Ruge Mutahaba Bukoba (+ Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E