🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 04-03-2019 09:00:03pm Bongo5
Katika hali ambayo haikutegemewa kwa Rapper kutoka Marekani DeAndre Cortez Way alimaarufu Soulja boy ambaye alifanya Show usiku wa kuamkia leo katika tuzo za BET Social Media Awards na kuweza kuweka alama kubwa sana katika tuzo hizo. Soujal boy alibahatika kufanya Show na kuweza kutikisha na kuwa kivutio kabisa ukumbini hapo, kitu ambacho kimetazamwa kwa jicho la tatu kwamba huenda ndio ujio mpya wa Soulja b katika game ya Marekani:- View this …The post Show ya Soulja boy yatikisha katika tuzo za BET Social media Awards (+ Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E