🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 04-03-2019 09:00:03pm Bongo5
Ruge Mutahaba aliyekua Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, aliyefariki wiki iliyopita tarehe 26 mwezi February wakati akifanyiwa matibabu huko nchini Afrika Kusini baada ya kuugua kwa muda mrefu, amezikwa leo katika makaburi ya familia nyumbani kwao Bukoba. Mazishi hayo yalihudhuriwa na wasanii, viongozi wa serikali pamoja na ndugu na marafiki.The post Ruge azikwa na maeflu Bukoba (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E