🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 14-08-2019 09:00:05pm Bongo5
Maafisa wa magharibi mwa Kenya wamefukua mwili wa mkaazi mmoja ili kumvua sare alizozikwa nazo kulingana na ripoti. Martin Shikuku Alukoye alizikwa akiwa na sare zake za huduma ya vijana wa kaunti ya kakamega baada ya kufa maji mwezi huu. Baadaye maafisa wa kaunti hiyo waliufukua mwili wake ili kumvua nguo hizo kulingana na ripoti. …The post Yaelezwa maafisa Kenya wafukua mwili ili kuuvua sare za kazi, Fahamu zaidi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E