Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Ndoa ya Rooney mashakani kisa pombe, mkewe atimka Marekani kuepuka aibu

Wednesday 14-08-2019 09:00:05pm Bongo5


Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United, Wayne Rooney amelazimika kuacha kabisa kunywa pombe ili kuokoa ndoa yake na mkewe Coleen ambaye amezaa nae watoto wa nne. The Sun imeripoti kuwa Rooney amekuwa akiishi Marekani na familia yake tangu mwaka uliopita, lakini tayari mkewe ameondoka huko na kurudi Uingereza kutokana na vituko vya ulevi vinavyoendelea. Wakati uhusiano …The post Ndoa ya Rooney mashakani kisa pombe, mkewe atimka Marekani kuepuka aibu appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E