🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 01-08-2019 09:00:03pm Bongo5
Katika kipindi cha miezi miwili iliyopita, zaidi ya ofisi 10 za chama cha upinzani nchini Burundi – (CNL) zimekuwa zikiharibiwa ima kwa kuchomwa moto au kupakwa kinyesi cha binadamu. Muakilishi wa chama hicho ameiambia BBC kuwa vitendo hivyo ni juhudi za kuzuwia demokrasia na kuutisha upinzani, kabla ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2020. Waziri …The post Yaelezwa baadhi ya ofisi nchini Burundi zapakwa kinyesi cha binadamu, Fahamu zaidi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E