🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 01-08-2019 09:00:03pm Bongo5
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mo Dewji kuendelea kuwekeza zaidi na asiwe mnyonge kwani serikali yake ipo pamoja na wawekezaji kama yeye. Rais Magufuli amesema hayo leo Alhamisi Agosti 1, 2019 wakati wa hafla ya uzinduzi wa kiwanda cha kusaga nafaka kilicho chini …The post Rais Magufuli amhakikishia mambo makubwa Mo Dewji, Amtaka asiwe mnyonge mbele ya Serikali yake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E