🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 16-04-2019 09:00:03am Bongo5
Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amewashauri wasanii wenzake kutengeneza malengo yao katika uigizaji ili kujipa uthamani ambao utawasaidia hata pindi wakizeeka. Akizungumza katika kongamano la waigizaji lililoandaliwa na Bodi ya Filamu wakishirikiana na Chama cha Waigizaji Taifa lililofanyika Jijini Dar es Salaam , Wema amesema muda sasa umefika wa wasanii kujitengenezea thamani katika …The post Wema awafunda wasanii wenzake juu ya maisha yao ya baadae ‘tuamke, tujitengenezee uthamani’ (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E