🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 16-04-2019 09:00:03am Bongo5
Ujerumani inawashinikiza maafisa nchini Venezuela kubadilisha uamuzi wao wa kusitisha matangazo ya kituo cha kimataifa cha televisheni cha Deutsche Welle cha Ujerumani kwa lugha ya Kihispania. Deutsche Welle imesema juzi Jumapili kwamba matangazo hayo yameondolewa hewani na kuitaka mamlaka ya utangazaji ya Venezuela Conatel kurudisha matangazo hayo hewani. Hapo jana siku ya Jumatatu, msemaji wa …The post Venezuela yasitisha matangazo ya shirika la utangazaji la Deutsche Welle nchini humo appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E