đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Friday 14-12-2018 09:00:02pm Swahili Times
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango amesema nchi inapita kwenye kipindi kigumu kidogo kutokana na wafadhili kupunguza kutoa misaada. Kufuatia hali hiyo, amewataka wanaokusanya mapato kuhakikisha wanasimamia kwa nguvu zote ukusanyaji mapato. Dk.Mpango ametoa kauli hiyo leo katika Mkutano kati ya Wizara hiyo na Watoa huduma za Serikali katika kukusanya mapato uliofanyika Jijini hapa. Amesema nchi inapitia katika kipindi kigumu kutokana na wafadhili kupunguza kutoa misaada na wanaotoa misaada pia imekuwa na masharti mengi ya hovyo. Ameelezwa miongoni mwa masharti hayo ambayo wafadhili wamekuwa wakiyatamka bila aibu kuwa ni wanaopokea misaada hiyo wakubali tabia ya ushoga kitu ambacho . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E