🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Friday 14-12-2018 09:00:02pm Swahili Times
Kamati ya Mambo ya Kigeni ya Marekani imemwandikia barua Waziri wa Mashauri wa Kigeni wa taifa hilo, Mike Pompeo na kumweleza kuhusu hali ya kisiasa nchini Tanzania ambapo ameisihi nchi hiyo kuchukua hatua za makusudu kama ilivyofanya Umoja wa Ulaya (EU) na Denmark ili kurejesha Tanzania katika misingi yake. Barua hiyo imeeleza kuwa, tangu Rais Dkt Magufuli alipoingia madarakani mwaka 2015, serikali imekuwa ikipitisha sera kandamizi, imekuwa ikitengeneza mazingira magumu kwa vyama vya siasa, asasi za kijamii na taasisi nyingine kufanya kazi zake, pamoja na sheria kandamizi dhidi ya vyombo vya habari. Aidha, barua hiyo imeongeza kuwa Rais Dkt Magufuli amezuia programu . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E