đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Thursday 30-08-2018 09:00:02pm Swahili Times
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amemwagiza mtaalamu bingwa wa uchunguzi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Bugando kwenda mkoani Kagera kwa ajili ya kurejea uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanafunzi Sperius Eradius (13) wa shule ya Msingi Kibeta iliyopo Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera na kuwahakikishia wanafamilia na wananchi kuwa uchunguzi utafanyika kwa ufanisi na haki itatendeka. Ameyasema hayo mapema leo wakati akizungumzia kuhusu kifo cha mwanafunzi huyo kinachosemekana kilisababishwa na mwalimu wake Respicius Patrick baada ya kumpiga kwa kumtuhumu kumuibia pochi yake. Waziri Ummy amesema kuwa kitendo hicho ni cha ukatili . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E