🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Thursday 30-08-2018 09:00:02pm Swahili Times
Jina langu ni George Matulanya, nina umri wa miaka 23 na ni mwanafunzi wa mwaka wa 4 wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Kusoma hapa ilikuwa moja ya ndoto zangu kutokana na msoto mkubwa nilioupata wakati nasoma sekondari hasa matatizo ya ada na ugumu wa maisha ya kila siku. Mbali na shauku ya siku moja kuwa mwanasheria, ninapenda kumiliki na kuendesha biashara. Lengo hili la kumiliki biashara ndilo lililonisukumu kufahamu kuhusu soko la hisa na kuamua kujipanga ili kuwekeza. Nilifahamu kuwa inawezakana mtu kumiliki sehemu ya kampuni nyingine kwa kununua hisa pale ambapo . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E