🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Sunday 02-12-2018 09:00:03am Swahili Times
Bernard Kamillius Membe alizaliwa Novemba 9 mwaka 1953 mkoani Lindi. Ni mwanasiasa ambaye ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi na alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania kuanzia 2007 hadi 2015. Pia alikuwa Mbunge wa Jimbo la Mtama kuanzia mwaka 2000 hadi 2015. Membe alisoma Shule ya Msingi Rondo-Chiponda na alijiunga na Shule ya Sekondari, Seminari na Namupa kwa ajili ya mosomo ya O-Level. Masomo yake ya A-Level alosoma katika Seminari ya Itaga (Itaga Seminary High School). Baada ya kumaliza hapo alijiunga Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambapo alisoma Sayansi ya Siasa (Political Science). Alisoma pia Uhusiano . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E